Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia mamia ya wananchi katika
mkutano wa hadhara aliofanya katika3 Kata ya Mererali, akiwa katika
ziara yake ya kukagua uhai wa Chama na Utekelezaji wa ilani ya CCM,
kusikiliza kero za wananchi na kujadiliana nao njia ya kuzitatua katika
wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara leo, Juni 2, 2014
Karibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akikagua tangi la mradi wa maji wa Mererani mkoani Manyara, leo Juni 2, 2014. Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye wakifurahia jambo na mchimbaji mdogo wa Mererani, Mahmoud Karia, baada ya Kinana kuzindua ujenzi wa zahanati katika kata ya Mererani leo