MAANDAMANO BAWACHA: Polisi wakiwa kwenye magari madogo 5, gari 1 la maji
ya kuwasha wafika na kuzingira Ofisi za Chadema-Bawacha Kinondoni
asubuhi hii kuzuia maandamano.
Polisi wamtia mbaroni Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake Chadema
(Bawacha), Halima Mdee na wenzake sita na kuondoka nao; hali bado si
shwari.