Kwa Maranyingine tena mkali wa Bongo fleva hapa Bongo siku ya kesho
anaachia Video zake zote mbili Mdogomdogo na kichupa alichofanya na
Iyanya nchini Uk. sasa hapa Leo Diamond ametuonjesha Kipande tu cha
Video ya Mdogomdogo, Sasa ukitaka kuamini kuwa Diamond ni noma Tazama
kipande hiki cha video ya Mdogo mdogo