Msanii
Mrusi, Evgniv Sapaev, aliyecheza katika filamu mashuhuri ya ‘Burnt by
the Sun 2′, alipoteza uume wake baada ya kujikata akitaka kuwa mwanamke.
Mwanamume
huyo alionekana akotoka nje ya nyumba yake huku damu ikimwagika kutoka
kwa sehemu zake nyeti kufuatia upasuaji aliojifanyia mwenyewe. Msanii
huyo mwenye umri wa miaka 38 ambaye nyota yake ilikuwa inang’ara sana
alikimbizwa hospitalini kwa huduma ya dharura kwa hofu ya hali yake kuwa
mbaya .
Madaktari
walijaribu kumshona lakini hawakufanikiwa katika juhudi zao za
kumrejeshea mwanamume huyo uume wake. Afisa mmoja hospitalini ambako
muigizaji huyo alipokea matibabu alisema alikuwa na bahati sana kuponea
kwani alivuja damu nyingi na kwamba angepoteza muda kidogo tu
angefariki.
Kwa
mujibu wa jarida la Mirror, jirani ya Evgniv Sapaev, Arkhip Tikhonov
mwenye umri wa miaka 57 alishtuka sana alipombishia mlango na kujionea
hali yake akiwa tayari ameanza kudhoofika kwani alikuwa amepoteza damu
nyingi sana. “Alionekana akitisha sana akiwa na damu mikononi mwake huku
akishika sehemu yake ya uuma ambayo alikuwa ameikata