IKIWA ni siku chache baada ya mama mmoja kukatwa mapanga na kuuawa na wanaodaiwa kuwa ni watoto
wake katika kijiji cha Nyamtundu katika kata ya Busanda wilayani Geita
tukio jingine limetokea mjini Geita ambapo mwanamke mmoja ameuawa kwa
kucharangwa mapanga kichwani na watu wasiofahamika kisha kutokomea
kusikojulikana .