Monday, June 2, 2014
HILI NDO BIFU JIPYA KATI YA JB NA MTITU, KISA KIKUBWA NI MKWANJA.
IKA hali ya kushangaza
msanii wa filamu na Mkurugenzi wa Five Effect, William Mtitu amemchana
live msanii mwenzake, Jacob Stephen ‘JB’ baada ya kutoa mchango mdogo
kwenye msiba wa Sheila Haule ‘Recho’.
Akizungumza msanii mmoja wa filamu ambaye
hakutaka jina lake lichorwe gazetini, alisema katika kutoa michango ya
msiba wa Recho ilifika zamu ya JB ambapo alichangia elfu hamsini jambo
ambalo lilimkera Mtitu na kuanza kumchana live.