Wasichana wakiwa na mabango kudai kurudishwa kwa wasichana zaidi ya 200 waliotekwa na Boko Haram |
maandamano yakielekea viwanja vya Jinsia TGNP mabibo kwaajili ya kusomwa kwa tamko la kuda wasichana warudishwe kuendelea na shule |
pamoja na wasichana wa sekondari pia walikuwepo wanaharakati mbalimbali wa haki za wanawake na watoto |
Bring our girls home, ndio ulikuwa wimbo wa maandamano |
waandamanji wanapokelewa na Wakurugenzi wa mashirika yaliyoandaa maandamano hayo |
waandamanaji wakionesha mabango mbalimbali wakati wakipokelewa |
Wakurugenzi wa mashirika hayo wakipokea maandamano tayari |
washiriki walivyokuwa |
wanafunzi wakihakikisha mabango yao yanasomwa na kila mmoja aliyekuwepo |
we want our girls back |