skip to main
|
skip to sidebar
global
Pages
Home
Sunday, June 1, 2014
MBEYA CITY FC YACHAPWA 1-0 NA VICTORIA UNIVERSITY ROBO FAINALI
Na Baraka Mpenja, Dar es salaamWAWAKILISHI wa Tanzania katika michuano ya CECAFA Nile Basin Cup, Mbeya City fc wameaga mashindano hayo baada ya kufungwa bao 1-0 dhidi ya Victoria University ya Uganda katika mchezo wa robo fainali uliomalizika dakika chache zilizopita mjini Khartoum.Mbeya City wametolewa katika michuano hiyo wakiwa wameshinda mechi moja, kufungwa moja na kutoka suluhu mechi moja katika hatua ya makundi.Lakini wamepoteza mechi ya pili katika mashindano haya baada ya kufungwa hatua ya robo fainali na kufungashiwa virago.Afisa habari wa Mbeya City fc, Freddy Jackson amesema wanashukuru kwa kilichotokea kwani ndio matokeo ya mpira wa miguu.Freddy amesema wachezaji wamejitahidi kucheza kwa juhudi, lakini hawakuwa na bahati."Ndugu tunashukuru kwa maombi yenu, alichotupangia mungu ndicho tulichopata. Mechi imemalizika , Mbeya city O victoria 1, hivyo basi tumeyaaga mashindano". Amesema Freddy. (P.T)
Newer Post
Older Post
Home
Popular Posts
KINANA : VIONGOZI WA KIJIJI WAACHE KUUZA ARDHI BILA KUWASHIRIKISHA WANANCHI
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipokelewa na wamasai katika kijiji cha Ayamango (Gallapo) ambapo alikuwa na kazi ya kufu...
MUIGIZAJI AJIKATA UUME AKITAKA KUWA MWANAUME
Msanii Mrusi, Evgniv Sapaev, aliyecheza katika filamu mashuhuri ya ‘Burnt by the Sun 2′, alipoteza uume wake baada ya kuji...
Jeshi la Polisi Latangaza kuanza Uchunguzi Wa Kina dhidi ya Freeman Mbowe , Dk. Slaa , Lissu, Mnyika na Godbless Lema Wanaotuhumiwa kwa Mauaji na Vitendo vya kigaidi
JESHI la Polisi limetangaza kuanzisha uchunguzi wa kina dhidi ya viongozi wa kitaifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)...
MGOGORO:-MUFTI WA TANZANIA SHAABAN SIMBA AONGOZA BAADHI YA WAISLAM KUVUNJA MILANGO YA MSIKITI MKUU WA IJUMAA TABORA
Baadhi ya waumini wa dini ya kiislamu msikiti mkuu wa Ijumaa Gongoni mjini Tabora wakati wa tukio la kuvunjwa milango ya msikiti...
SHETANI KAWEKEZA KWENYE KILA KITU KIZURI
Kila kwenye kitu kizuri, shetani kaweka mguu wake. (Nazungumzia maadili ya vijana). simu ni moja ya kitu kizuri, lakini shetani k...
Majibu ya Mbunge Salvatory Machemli kuhusu picha za utupu zilizosambazwa zenye sura yake.
Siku chache zilizopita kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii zilisambazwa picha mbalimbali za Wabunge wa Bunge la Tanzania zikiony...
KUELEKEA UCHAGUZI 2015:: VIJANA WAAMUA KUTANGAZA NIA YA KUGOMBEA UBUNGE, HUYU NI MMOJA WAO
RAJABU KAYAGWA KATIKA SHUGHULI ZA KUIMARISHA CHAMA Katika kuelekea Mwaka wa Uchaguzi wa Madiwani, Wabunge pamoja na Rais Hapo Mwa...
MCHUNGAJI ALIYEHARIBIWA SURA KWA TINDIKALI, SASA AENDELEA VYEMA
Mchungaji Umar Umulinde wa Uganda akiwa hospitalini. Hizi ni baadhi ya p...
DR MOHAMED GHALIB BILALI AFUNGUA MKUTANO MKUU WA BODI YA WAKANDARASI NCHINI
Baadhi ya wakandarasi wakila kiapo cha utiifu wakati wa mkutano mkuu wa Bodi ya wakandarasi nchini uliofanyika jijini Dar es Salaam...
Wanasheria wahoji uhalali wa Bunge la Katiba bila Ukawa
“Hakuna kifungu cha sheria kinachosema Rais anaweza kulivunja Bunge hilo, bali linaweza kuahirishwa. Nami ningeshauri lia...
[URL=http://info.flagcounter.com/UhIW][IMG]http://s03.flagcounter.com/count/UhIW/bg_FFFFFF/txt_000000/border_CCCCCC/columns_2/maxflags_12/viewers_0/labels_0/pageviews_0/flags_0/[/IMG][/URL]
flags.es
www.playonlineroulettex.com
The following text will not be seen after you upload your website, please keep it in order to retain your counter functionality
silver lotto system review
Live Traffic Stats
Ads 468x60px
Followers
PGA Head Teaching Professional
Unknown
View my complete profile
Powered by
Blogger
.