nusu
jirani na baa ya samaki Samaki barabara kuu ya Morogoro -Dodoma,ambapo
dereva wa Lori hii alibanwa vibaya jambo lililopelekea wananchi kuvunja
mlango wa gari hilo na kumchomo,Kwa
Rehema za Mungu hadi anachomolewa dereva huyo alikuwa mzima ingawa
aliumia viba baada kuvunyika sehemu nyingi katika mwili wake.
Askari wa Usalama Barabarani akiwa eneo la ajali