Agnes
Marwa (18), mkazi wa Mrito, Kata ya Kemambo, Wilaya ya Tarime, mkoani
Mara, ameunguzwa sehemu za siri kwa moto baada ya mume wake kudaiwa
kumkuta na Sh2,000 kwenye pochi.
Inadaiwa baada ya kumkuta na fedha hizo, alimtuhumu kuhongwa na wanaume na kuanza kumpiga, kish
-
Jumanne, Julai 22, 2014
FICHUO Tz
Kumetokea
ajali asubuhi hii baada ya basi la Bestline lililokuwa linasafiri
kutoka Mwanza kuelekea Dar es salaam kupinduka baada ya tairi zake za
mbele kupasuka katika eneo la Usanda kata ya Samuye wilaya ya Shinyanga.
Habari za awali zinadai kuwa kuna watu wamepoteza maisha na wengi kujeruhiwa na Majeruhi wamekimbizwa katika hospitali ya mkoa wa Shinyanga. Taarifa kamili itakuijia hivi punde!
- See more at: http://fichuotz.blogspot.com/2014/07/ajali-mbaya-ya-basi-la-bestline-leo.html#sthash.7I3PKwEe.dpufHabari za awali zinadai kuwa kuna watu wamepoteza maisha na wengi kujeruhiwa na Majeruhi wamekimbizwa katika hospitali ya mkoa wa Shinyanga. Taarifa kamili itakuijia hivi punde!