RAJABU KAYAGWA KATIKA SHUGHULI ZA KUIMARISHA CHAMA
Katika
kuelekea Mwaka wa Uchaguzi wa Madiwani, Wabunge pamoja na Rais Hapo
Mwakani (2015). Inaonesha vijana wamedhamiria kufanya mapinduzi na
kuvunja ukimya katika kunyakua nyadhifa muhimu katika vyama vya Siasa
ikiwa ni tofauti na hapo awali kwamba ilizoeleka ni wazee peke yao tena
wale wastaafu kutoka serikalini ndio walikuwa wanategemewa kugombea
nyadhifa hizo.
Hiyo
imedhibitishwa hivi leo baada ya Kijana Shupavu RAJABU KAYAAGWA kupitia
Chama Cha CCM kutangaza nia ya Kuingia kwenye Kinyang'anyiro cha
Kugombea Ubunge wa Jimbo la Kasuru Vijijini Katika Mkoa wa Kigoma.
Amebainisha niayake hiyo Kupitia Accounti yake ya Facebook Hivi leo na Kuandika Maneno Haya:
"MIMI MWL. RAJABU KAYAGWA(35) WA LUSESA KASULU NATANGAZA RASMI KUGOMBEA JIMBO LA KASULU VJIJINI (CCM),VIJANA WENZANGU,WAZEE,WAMAMA NA WANAONIPENDA NAOMBA DUA ZENU, NA KUNIUNGA MKONO. PIA WANAONICHUKIA NAKARIBISHA CHANGAMOTO ZENU. CCM OYEEE."
Unaweza Mfuata kwenye account yake hiyo kwa Kubofya Hapa