Naibu
Katibu Mkuu akizungumza na Ugeni Kutoka chama rafiki cha National
Resistence Army Kutoka Uganda waliofika Kujifunza Mambo mbalimbali ya
Kiuongozi/Kiutendaji ndani ya Chama cha Mapinduzi.Naibu katibu Mkuu CCM-Bara Mh:Mwigulu akimkabidhi Kitabu/cha
Mwongozo cha Chama cha Mapinduzi Kiongozi wa Serikali ya Uganda(NRA).Naibu
Katibu Mkuu CCM-Bara Mh:Mwigulu Nchemba akimkabidhi Katiba Ndugu
Nnsiima Emmanuel Bigirwa Mchambuzi wa Mambo ya Siasa Kutoka Serikali ya
Uganda.Mh:Mwigulu akimkabidhi kanuni za Uchaguzi zinazotumiwa na Chama cha Mapinduzi.