“Wote ninyi ni mashuhuda,
kwenye vyama vya siasa rafiki, watu wanapeana nafasi za uongozi kiukooo,
hakuna chaguzi huko chaguzi za haki na zenye uhuru mpana, zipo CCM
pekee” amesema na kushangiliwa.
Mjumbe huyo amesema ili CCM iendelee kuwa na nguvu na kutesa katika chaguzi zote ni wanachama kulipa ada kwa wakati na kuhamasisha wananchi wengi kujiunga na chama hicho chenye sera zinazotekelezaka.
Katika hatua nyingine, Ridhiwani amewahimiza wananchi wa mkoa wa Singida, kujitokeza kwa wingi kupiga kura ili kupata katiba mpya itkayokidhi mahitaji ya wanachi kwa miaka 50 ijayo.
Amewataka wawe makini na siasa za sasa ambazo zingine zinahamamisha uwepo wa serikali tatu wakati kuendesha serikali mbili, ni tatizo kubwa.